Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Sinopse

Ni Makala yanayoangazia kwa jicho la tatu mazingira halisi ya dunia yalivyo bila kusahau kile ambacho kinachangia kuyaharibu. Utapata kufahamu namna ambavyo mazingira na rasilimali zinavyoharibiwa huku pia teknolojia ikijumuishwa. Hakika mazingira mazuri ya leo ni dunia yako kesho.

Episódios

 • Serikali ya Tanzania yawafunga tembo vifaa maalum

  Serikali ya Tanzania yawafunga tembo vifaa maalum

  10/09/2018 Duração: 10min

  Katika makala haya hii leo tunaangazia hatua ya serikali ya Tanzania  kuwafunga Tembo vifaa maalum kwa ajili ya kufuatilia mienendo yao ili kuweza kuwaratibu.

 • Fahamu Faida za Biashara Rafiki Wa Mazingira

  Fahamu Faida za Biashara Rafiki Wa Mazingira

  16/01/2017 Duração: 10min

  Hakika msikilizaji wetu utakubaliana naami ya Kwamba Pale popote duniani, uchumi wa wananchi na taifa huimarika kutokana na kushamiri kwa biashara. Iwe inafanywa na sekta binafsi au taasisi.Basi kupitia kipindi cha Mazingira leo,Dunia yako kesho kwa juma hili ingazia juu ya Faida za Biashara Rafiki wa Mazingira katika Utunzaji wa Mazingira yetu katika Nchi zetu za Afrika Mashariki na Kati

 • Fahamu Juu ya Umuhimu wa Madili ya Kutunza Mazingira

  Fahamu Juu ya Umuhimu wa Madili ya Kutunza Mazingira

  09/01/2017 Duração: 11min

  Maadili ni miongoni mwa vitu muhimu sana katika ujenzi wa jamii yoyote lile, bila uwepo wa nidhamu ya kutosha jamii yoyote ile haiwezi kuendelea. Maendeleo ya kiuchumi na ustawi wa jamii hauwezi kufikiwa pasipo nidhamu na maadili, Hatuwezi kuwa na jamii yenye mpangilio mzuri pasipo maadili. Basi Makala yetu ya Mazingira Leo Dunia Yako kesho kwa juma hili inagazi juu ya umuhimu wa Madili ya Mazingira

 • Fahamu Juu ya Umuhimu wa Kuhifadhi Misitu

  Fahamu Juu ya Umuhimu wa Kuhifadhi Misitu

  02/01/2017 Duração: 09min

  Hakika msikilizaji wetu unakubaliana naami ya kwamba Misitu ni Uhai, kwa kutambua umuhimu wa usemi huu makala yetu inagazia kwa mara nyingine juu ya umuhimu wa kuhifadhi misitu lakini vile vile athari za uharibifu wa Misitu  

 • Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Tathmini Fupi ya Mkutano wa mabadiliko ya hali ya hewa wa Marrakesh

  Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Tathmini Fupi ya Mkutano wa mabadiliko ya hali ya hewa wa Marrakesh

  26/11/2016 Duração: 10min

  Viongozi kutoka mataifa mabli mablikutoka ulimwenguni walikutana mjini Marrakech, Morocco katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya tabia nchi COP22.Makala yetu ya mazingira Leo Dunia Yako kesho kwa juma hili itathmini juu ya Mkutano huo uliomalizika mjini Marrakesh nchini Morocco 

 • Fahamu Mwaka 2016 Kuvunja Rekodi ya kuwa Mwaka wenye Joto Zaidi

  Fahamu Mwaka 2016 Kuvunja Rekodi ya kuwa Mwaka wenye Joto Zaidi

  21/11/2016 Duração: 10min

  Kwa mujibu wa ripoti ya WMO imeainisha hali ya joto kidunia imeongezeka mara dufu mwaka 2015/2016 kutokana na dunia kukumbwa na kipindi cha El Nino, El Nino ni hali ya kuongezeka kwa joto kwenye mstari wa Ikweta katika bahari ya Pacific, kipindi ambacho kinakadiriwa kuwa hujirudia kila baada ya miaka 5, hali hii ilianza kushuhudiwa katikati ya mwaka huu. Zaidi ya hali ya joto kidunia, viashiria vingine vya mabadiliko ya tabia nchi pia vilionesha kufikia kiwango cha juu, limeonya shirika hili.Kipindi hiki cha Mazingira Leo kwa jumaa hili kitangazia juu ya Chanzo na Athari za ongezeko hilo la Joto kwa Dunia  

 • Fahamu juu Mkutano wa 22 wa nchi wanachama wa mkataba wa mabadiliko ya tabianchi

  Fahamu juu Mkutano wa 22 wa nchi wanachama wa mkataba wa mabadiliko ya tabianchi

  14/11/2016 Duração: 10min

  Suala la Mabadiliko ya tabia nchi limekuwa ni miongoni mwa ajenda kuu za Umoja wa Mataifa na jumuiya ya kimataifa kwa mwaka 2014, Katibu Mkuu Ban Ki- Moon amekuwa mstari wa mbele kupigia upatu suala hili na kuratibu mkutano uliowaleta pamoja viongozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa Makala ya Mazingira Leo Dunia Yako Kesho inagazia juu ya Reporti ya Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa juu namna ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi pamoja na kuelezea mikakati inayofanyika katika kukabiliana na janga hilo

 • Fahamu Juu ya Reporti ya UN ya Namna ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi

  31/10/2016 Duração: 10min
 • Fahamu juu ya Suala la Ukusanyaji Taka katika Mjii wa Nairobi

  Fahamu juu ya Suala la Ukusanyaji Taka katika Mjii wa Nairobi

  17/10/2016 Duração: 10min

  Bila Shaka hakuna asiyefahamu kuwa baadhi ya maeneo mengi ya miji yetu ni machafu na uchafu huo huchangiwa sana na mifuko na chupa za plastiki.Kipindi cha Mazingira Leo Dunia Yako kesho kwa juma hili kinangazia juu ya kundi la Vijana la huko Nairobi nchini Kenya ambalo wanaokotoa taka ikiwemo chupa za plastiki,hii ikiwa ni moja ya njia ya kuweka mjii katika hali ya usafi

 • Sehemu ya Pili:Fahamu juu ya Ufugaji wa samaki wa kisasa kwenye mabwawa ya kuchimbwa

  Sehemu ya Pili:Fahamu juu ya Ufugaji wa samaki wa kisasa kwenye mabwawa ya kuchimbwa

  10/10/2016 Duração: 09min

  Ufugaji wa samaki wa kisasa kwenye mabwawa ya kuchimbwa umekuwa ukishamiri duniani kote inchi kama .Niwazi tumeona baadhi ya inchi nyingi zikizidi kuzalisha nafasi nyingi za ajira kwa shughuli hizi pamoja na kukuza kipato cha mhusika mmoja mmoja, jamii flani na taifa kwa ujumla. Katika kuiangalia fursa hii katika sehemu yetu ya pili na ya mwisho ya makala yetu ya Mazingira Leo Dunia Yako Kesho kwa juma hili tutaangalia juu ya mbinu muhimu za kuzingatia wakati wa kuanzisha mradi wa ufugaji wa samaki wa kisasa 

 • Fahamu juu ya Ufugaji wa samaki wa kisasa na mbinu muhimu za kuzingatia

  Fahamu juu ya Ufugaji wa samaki wa kisasa na mbinu muhimu za kuzingatia

  03/10/2016 Duração: 09min

  Ufugaji wa samaki wa kisasakwenye visima au mabwawa ya kuchimbwa umekuwa ukishamiri duniani na Ufugaj huu wa samaki ni sawa kama ilivyo shughuli nyingine yoyote ya kiuchumi inahitaji usimamizi mzuri ili uweze kuwa na faida. Katika makala haya ya Mazingira Leo Dunia Yako kesho kwa juma hili itangazia kwa ujumla kwa juu ya ufugaji wa samaki wa kisasa na mbinu muhimu za kuzingatia wakati wa kuanzisha mradi wa ufugaji wa samaki wa kisasa 

 • Fahamu Athari za magugu maji kwa Mazingira

  Fahamu Athari za magugu maji kwa Mazingira

  19/09/2016 Duração: 10h09min

  Suala la kupambana na magugu maji katika ziwa Victoria bado ni changamoto, licha ya kuwepo na jitianda mbali mbali za kupambana na magugu maji katika ziwa hilo.Makala ya Mazinigira Leo,Dunia Kasho ingazia juu ya adhaaa ya Magugu maji katika Ziwa Victoria na athari zake kwa mazingira 

 • Fahamu Changamoto za Mazingira zinazo likabili Ziwa Victoria

  Fahamu Changamoto za Mazingira zinazo likabili Ziwa Victoria

  12/09/2016 Duração: 10h09min

  Ziwa Victoria lililopo Kanda ya Ziwa ni miongoni mwa vyanzo vikubwa vya maji na maendeleo ya nchi nyingi katika ukanda wa Afrika Mashariki , nyingine kama vile Tanzania Uganda, Rwanda, Burundi, Kenya na Misri inayopata huduma ya maji ya Mto Nile unaoanzia kwenye ziwa hili la kwanza kwa ukubwa barani Afrika na la pili kwa ukubwa duniani. Kipindi cha Mazingira leo Dunia Yako kesho kwa juma hili inagazia juu ya changamoto zinazolikabili ziwa Victoria

 • Fahamu Faida na Athari za Kimazingira zitokanazo na kuhamisha Mji Mkuu Dodoma kutoka Dar es Salaam

  Fahamu Faida na Athari za Kimazingira zitokanazo na kuhamisha Mji Mkuu Dodoma kutoka Dar es Salaam

  29/08/2016 Duração: 10min

  Uamuzi wa serikali ya jamhuri wa Mungano wa Tanzania kuhamia mji mkuu Dodoma kutoka Dar es Salaam imezua mjadala miongoni mwa watalaamu wa Masuala ya Mazingira.Basi wakati  ofisi ya Waziri Mkuu ikipanga kuhamia Dodoma mwezi Septemba,Makala yetu ya Mazingira Leo Dunia yako kesho inagazia juu ya Faida na Athari za Kimazingira kwa mjii wa Dodoma 

 • Fahamu FaidaUfugaji wa nyuki wa kisasa kwa Mazingira

  Fahamu FaidaUfugaji wa nyuki wa kisasa kwa Mazingira

  22/08/2016 Duração: 10min

  Ufugaji wa nyuki wa kisasa unoazingatia matumizi ya vifaa bora ambao huzalisha asali bora lakini pia husaidia katika utunzaji wa Mazingira lakini pia licha ya kusaidia kutunza mazingira, nyuki ni muhimu kwa maisha ya binadamu na viumbe hai vyote, kwani husaidia katika uchavushaji wa mimea.Makala ya Mazingira Leo,Dunia yako Kesho inagazia juu ya faida za Ufugaji wa nyuki wa kisasa katika utunzaji wa Mazingira

 • Fahamu Naama ya Kenya Inavyokabiliana na Hali Mabdiliko ya Tabia Nchi

  Fahamu Naama ya Kenya Inavyokabiliana na Hali Mabdiliko ya Tabia Nchi

  15/08/2016 Duração: 10min

  Mabadiliko ya tabia nchi imekuwa miongoni mwa ajenda kuu za Umoja wa Mataifa na jumuiya ya kimataifaKwa kuona umuhimu wa suala la mabadiliko ya tabia nchi, Serikali ya Kenya Tayari imeanza kuchukuwa hatua za ufuatiliaji, kufanya tathimini na mbinu mbalimbali za kukabiliana na Athari za Mabdiliko ya tabia Nchi,Makala ya Mazingira Leo Dunia Yako kesho inagazia juu ya hatua serikali ya Kenya inachukuwa katika kukabiliana na hali ya Mabadiliko ya Tabia Nchi

 • Fahamu Athari Za Mabadiliko ya Tabia Nchi Kwa Viumbe vya baharini na Matumbawe

  Fahamu Athari Za Mabadiliko ya Tabia Nchi Kwa Viumbe vya baharini na Matumbawe

  08/08/2016 Duração: 10min

  Wataalamu mbali mbali wa masuala ya wa sayansi ya baharini wamedai ya kwamba n matumbawe katika mwambao wa bahari ya hindi, haswa kisiwani Zanzibar yapo hatari ya kutoweka kutokana na uharibifu mkubwa wa Mazingira unaotokana na shuhuli za kila siku za binadamu Kipindi chetu cha Mazingira Leo inagazia juu ya tahri za Mabadiliko ya Tabia Nchi kwa ustawi wa viumbe vya baharini na matumbawe ambayo ndiyo makaazi makubwa ya samaki 

 • Changamoto ya Utiririshaji wa Maji Taka Mjini na Naama ya Kukabiliana Nayo

  Changamoto ya Utiririshaji wa Maji Taka Mjini na Naama ya Kukabiliana Nayo

  25/07/2016 Duração: 10min

  Takwaimu za shirika la Afya Duniani zinaonesha kuwa kila sekunde 20 mtoto huafariki kutokana na kipindu pindi au na magonjwa yanayosababishwa na maji machafu. Basi Makala yetu ya Mazingira Leo Dunia Yako kesho Kwa Juma hili inagazia juu ya jitihada Nchi za Afrika Masharika Na Kati za kutatua tatizo la maji taka na taka ngumu ikiwemo ujengaji wa miundombinu ya kisasa ya kuhifadhi maji taka na kusafisha.

 • Fahamu Juu ya Madhimisho ya Wiki ya 6 ya Maji Barani Afrika

  Fahamu Juu ya Madhimisho ya Wiki ya 6 ya Maji Barani Afrika

  18/07/2016 Duração: 11min

  Tanzania ni Mwenyeji maadhimisho ya 6 ya wiki ya Maji Barani Afrika na Mkutano wa 10 wa Baraza la Mawaziri wa Maji wa Nchi za Afrika Mkutano huo unakutanisha waadu wa masula ya maji zaidi ya 1000 kutoka mataifa mbali mbali mbalini afrika huku Kauli mbiu ya mkutano huo mwaka huu ni Kufikia lengo la maendeleo Endelevu Juu ya usalama wa Maji na usafi wa mazingira” Makala ya Mazingira Leo,Dunia Yako Kesho kwa jumaa hiii inajikita kuangazia juu ya Tija la Kongamano hilo la 10 la maji Barani Afrika,katika kusaidia kukabiliana na chanagamoto za Maji

 • Fahamu Kilimo cha kijani ( Green house) na Faida zake Kwa Mazingira

  Fahamu Kilimo cha kijani ( Green house) na Faida zake Kwa Mazingira

  04/07/2016 Duração: 10min

  Kilimo ndio uti wa mgongo wa uchumi katika mataifa mengi katika bara la Afrika,hii ni kutokana na sekta hiyo imekuwa na mchango mkubwa katika kuchangia pato la taifa haswa kupitia mazao ya Biashara Kupitia Makala yetu juma hili tutangazia juu ya Kilimo cha ndani ya nyumba ya kijani ( Green house) naama Teknolojia hii inavyotumika hasa kuikinga mimea usiathiriwe na mazingira haribifu ya hali ya hewa 

Informações: